Home > Terms > Swahili (SW) > nadharia atomu

nadharia atomu

 Nadharia atomu ni nadharia inayosema kuwa mfumo wa kijamii ni kitu kilichosawa na mkusanyiko wa watu. Kama tunaweza kuelewa watu binafsi, basi tunajua yale yote tunayohitaji kujua kuhusu mifumo ya kijamii ambayo hushiriki.

0
  • Ordklasse: noun
  • Synonym(er):
  • Blossary:
  • Fagområde/Domene Culture
  • Category: Social media
  • Company:
  • Produkt:
  • Akronym-Forkortelse:
Legg til Min ordliste

Hva ønsker du å si?

Du må logge inn for å legge inn i diskusjoner.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Ordlister

  • 1

    Followers

Fagområde/Domene Festivals Category: Halloween

Halloween

Inajulikana pia kama All Hallow's Eve, Halloween ni likizo ya mwaka inayosherehekewa tarehe 31 Oktoba katika Marekani, Canada, na Uingereza. Ni eti ...

Bidragsyter

Featured blossaries

Artisan Bread

Kategori: Food   2 30 Terms

The World's Nine Most Powerful Women

Kategori: Politics   1 9 Terms